Ajari, Loli la mafuta lapinduka na kuwaka moto 02:38 Unknown Loli lapinduka katika eneo la katikati ya mji wa morogoro na dodoma na kwa taarifa iliyopo ni kuwa hakuna aliyepoteza matukiomaisha gali hilo likiwa linawaka baada ya kupinduka baadhi ya mashuhuda kwa mbali waakiwa wanashuhudia ajar hiyo gali hilo likiwa bado linateketea kwa moto
0 comments:
Post a Comment