RAHIMU1993.TK.COM

RAHIMU1993.TK.COM
facebook page yetu SKYREPORTS.COM
Saturday, 30 August 2014

03:10

 Ona picha kumi za ajari iliyotokea huko mbeya damu ovyoovyo yani

WATU kumi wakiwemo watoto wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine saba wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari mawili.
Ajali hiyo imetokea leo majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu kama daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace  na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea Mbalizi kulivaa lori lililokuwa likiingia barabarani.
 
Walisema inasemekana dereva wa Hiace gari yake ilimshinda kutokana na kutelemka mlima mkali wa Mbalizi ingawa pia walimtupia lawama dereva wa lori ambaye alikuwa akiingia barabarani bila kuchukua tahadhari.
 
Muuguzi Mkuu wa Hospitali Teule ya Ifisi, Mbalizi, Sikitu Mbilinyi, ambako majeruhi na marehemu walikimbizwa hapo alithibitisha kupokea majeruhi 7 ambapo alisema kati yao ni wanawake 3 na wanaume 4.
 
Alisema kati ya majeruhi hao wawili wamepewa rufaa kwenda Hospitali ya Rufaa Mbeya kutokana na kuhitaji msaada zaidi huku wengine wakiendelea kupatiwa msaada wa haraka ili kunusuru hali zao.
 
Mbilinyi aliongeza kuwa pia wamepokea miili ya marehemu 10 wakiwemo watoto wawili na wanawake wanne na wanaume wanne.
 
Hata hivyo majina ya majeruhi na marehemu hayajaweza kupatikana mara moja kutokana na kuwa katika hali mbaya ambapo dereva wa lori alitokomea mara baada y
 
Hata hivyo majina ya majeruhi na marehemu hayajaweza kupatikana mara moja kutokana na kuwa katika hali mbaya ambapo dereva wa lori alitokomea mara baada ya tuikio.

0 comments:

Post a Comment